Matuoni ni nini katika biblia?
Matuoni limetokana na neno “kituo”. Hivyo popote lilipoonekana katika biblia lilimaanisha kituo, au vituo au kambi. Na matuo hayo au kambi hizo zinaweza kuwa ni kambi za kazi, au za vita, au za makazi au za shughuli nyingine yoyote maalumu. Kwamfano tunaweza kuona sehemu chache neno hilo lilipoonekana katika biblia.. 2Wafalme 3: 24 “Hata walipokuja … Continue reading Matuoni ni nini katika biblia?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed