Maherodi walikuwa ni akina nani, Na kazi yao ilikuwa ni ipi?
Enzi zile za Bwana Yesu kulikuwa na makundi makubwa matatu yaliyokuwa na nguvu sana katika jamii, ambayo yalikuwa yanampinga sana vikali Bwana Yesu, tukiachalia mbali Mafarisayo na masadukayo ambao habari zao tunazijua sana, kulikuwa na kundi lingine la tatu lililoitwa Maherodi. Kama jina lao lilivyo ni watu ambao walikuwa wanamsapoti Herode, na kumtambua kama ndiye … Continue reading Maherodi walikuwa ni akina nani, Na kazi yao ilikuwa ni ipi?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed