ILI NIWE KIELELEZO KWA WALE WATAKAOMWAMINI BAADAYE.

Bwana Yesu asifiwe. Karibu tujifunze neno la Mungu. Paulo ni kielelezo kikubwa sana, kwa watu walio katika dhambi leo hii, ukiyatazama maisha Paulo, utajifunza mengi sana, Yeye mwenyewe anasema hapo zamani alikuwa ni mtukanaji, akiwa na maana alikuwa mtu asiyekuwa  na maadili katika jamii, anasema tena  alikuwa ni jeuri, kuonyesha kuwa alikuwa ni mtu mwenye … Continue reading ILI NIWE KIELELEZO KWA WALE WATAKAOMWAMINI BAADAYE.