MAPEPO YANATAFUTA HIFADHI NDANI YAKO KWA BIDII SANA.

Jina la Bwana wetu Yesu libarikiwe, karibu tujifunze biblia. Je umewahi kujiuliza, mapepo yanapomtoka mtu yanakwenda wapi?..Je yanakufa au yanakwenda kuzimu?. Jibu ni kwamba idadi kubwa ya mapepo yanapomtoka mtu yanakwenda kutafuta kumwingia mtu mwingine, au yanarudi kutafuta kuingia pale yalipotoka kama mtu yule atakuwa hajajitakasa. Bwana wetu Yesu alitupa ufunuo huo.. Mathayo 12.43  “Pepo … Continue reading MAPEPO YANATAFUTA HIFADHI NDANI YAKO KWA BIDII SANA.