Majina mbalimbali ya Mungu na maana zake.
Mungu ni mmoja tu, lakini katika umoja wake amekuwa akijifunua katika majina mengi, kulingana na uweza wake alionao, au majira Fulani yaliyopita, au matukio ya namna tofauti tofauti yaliyotokea. Ni sawa, ni raisi Fulani aitwe JOHN, lakini huyo huyo anaweza akaitwa baba sehemu fulani, akaitwa mjomba sehemu nyingine , mhandisi kwa watu fulani, amiri jeshi … Continue reading Majina mbalimbali ya Mungu na maana zake.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed