JE UNAIFANYA KAZI YA MUNGU?

Marko 13:32  “Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika walio mbinguni, wala Mwana, ila Baba. 33  Angalieni, kesheni, [ombeni], kwa kuwa hamjui wakati ule utakapokuwapo. 34  Mfano wake ni kama mtu mwenye kusafiri, ameiacha nyumba yake, amewapa watumwa wake amri, na kila mtu kazi yake, naye amemwamuru bawabu akeshe. 35  … Continue reading JE UNAIFANYA KAZI YA MUNGU?