KUJIFUNUA KWA YESU KWA PILI.

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe daima. Ni wasaa mwingine tena ambao Mungu ametujalia kuufikia hivyo  nakukaribisha tuyatafakari  kwa pamoja maneno ya uzima ndugu yangu. Biblia inatuambia kuwa Bwana Yesu alipofufuka kutoka kwa wafu, aliwatokea baadhi ya watu, ambao idadi yao ilikuwa kama  watu 500,(1Wakorintho 15:6) , Lakini ulishawahi kujiuliza ni kwanini iwe hivyo? … Continue reading KUJIFUNUA KWA YESU KWA PILI.