Ni nani aliyesema “Nitume mimi”? katika (Isaya 6:8)

SWALI: Mtumishi wa Mungu! Bwana asifiwe, naomba ufafanuzi kidogo juu ya andiko hili katika Isaya 6:1-10 Ni Nani aliyesema “Nitume Mimi”?je Ni isaya au!? Na kwanini Isaya pia alitakaswa kwa kaa la moto? JIBU:  Tusome baadhi ya vifungu hivyo; Isaya 6: 5 “Ndipo niliposema, Ole wangu! Kwa maana nimepotea; kwa sababu mimi ni mtu mwenye midomo … Continue reading Ni nani aliyesema “Nitume mimi”? katika (Isaya 6:8)