kwanini Yakobo amefananishwa na mdudu?(Isa 42:14)

SWALI: Mtumishi wa Bwana napenda kufahamu Neno hili kwenye Isaya 41:14 kwanini Yakobo amefananishwa na mdudu? JIBU: Tuanzie kusoma juu kidogo mstari wa 8 na kuendelea ili tupate picha nzuri Zaidi.. Isaya 41:8 “Nawe, Israeli, mtumishi wangu; Yakobo, niliyekuchagua; mzao wa Ibrahimu, rafiki yangu; 9 wewe niliyekushika toka miisho ya dunia, na kukuita toka pembe … Continue reading kwanini Yakobo amefananishwa na mdudu?(Isa 42:14)