Shetani anaweza kuwekwa mbali nasi au akaondoka mbele yetu kwa namna kuu tatu. Ya kwanza ni kwa kumfukuza Ya pili ni kwa kuseta chini ya miguu yetu Na Ya tatu ni ya kumfanya yeye mwenyewe atukimbie. 1) Kumfukuza ni kwa kumkemea: Wakati mwingine shetani anatukaribia sana ili kutujaribu tuanguke katika dhambi. Na tusipokuwa makini atafanikiwa … Continue reading MWEKE SHETANI MBALI NA WEWE.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed