Nini maana ya tumeumbwa kwa mfano na sura ya Mungu?
Swali: Biblia inasema tumeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu, maana yake nini? Jibu: Tusome. Mwanzo 1:26 “Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi. 27 Mungu akaumba mtu kwa … Continue reading Nini maana ya tumeumbwa kwa mfano na sura ya Mungu?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed