Nini maana ya ombeni kukimbia kwenu kusiwe wakati wa baridi wala siku ya sabato?.

Jibu: Ili tupate kuelewa vizuri, tutaisoma habari hii hii katika vitabu vitatu tofauti vya Injili. Tukianza na kitabu cha Mathayo, biblia inasema… Mathayo 24:15  “Basi hapo mtakapoliona chukizo la uharibifu, lile lililonenwa na nabii Danieli, limesimama katika patakatifu (asomaye na afahamu), 16  ndipo walio katika Uyahudi na wakimbilie milimani; 17  naye aliye juu ya dari … Continue reading Nini maana ya ombeni kukimbia kwenu kusiwe wakati wa baridi wala siku ya sabato?.