Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe daima, Ni siku nyingine tena Mungu ametupa neema ya kujifunza, hivyo nakukaribisha tuyatafakari pamoja maneno ya uzima maadamu siku ile inazidi kujongea. Lipo jambo alilizungumza Petro, wakati ule ambao Bwana Yesu aliwachukua yeye pamoja na Yakobo na Yohana juu ya ule mlima mrefu.. Tukilisoma naamini litatupwa mwanga wa … Continue reading NI VIZURI SISI KUWAPO HAPA.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed