Kwanini Yesu aliwakataza mitume wake kumdhihirisha?

SWALI: Shalom ndugu wapendwa! Naomba kuuliza kwa nini Yesu awakataze akina Petro wasiseme kwa watu kwamba yeye ni KRISTO kama ilivyo kwenye Mathayo 16:20 JIBU: Kwa faida ya wengi tusome habari yote inayoelezea hilo tukio.. Mathayo 16:13 “Basi Yesu akaenda pande za Kaisaria-Filipi, akawauliza wanafunzi wake akasema, Watu hunena Mwana wa Adamu kuwa ni nani? … Continue reading Kwanini Yesu aliwakataza mitume wake kumdhihirisha?