Nini maana ya kuruzuku katika biblia?

Maana ya Neno “kuruzuku” ni “kutoa Riziki”. Unapompa mtu mwingine riziki hapo umemruzuku. Katika biblia tunaona neno hilo limetokea mara kadhaa Mungu akiwaruzuku watu. Katika kitabu cha Nehemia tunaona Neno hilo likitajwa.. Nehemia 9: 21 “Naam, muda wa miaka arobaini uliwaruzuku jangwani, wasihitaji kitu; nguo zao hazikuchakaa, wala miguu yao haikuvimba”. Na pia tunaliona neno … Continue reading Nini maana ya kuruzuku katika biblia?