TUTAMKARIBIA MUNGU KWA IDADI YA MVI ZETU ROHONI.
Shalom, nakukaribisha katika kuyatafakari maneno ya uzima, biblia inatuambia.. Mithali 16:31 “KICHWA CHENYE MVI NI TAJI YA UTUKUFU, Kama kikionekana katika njia ya haki”. Wengi wetu tunatafuta wokovu ili tu tuende mbinguni, tunadhani wokovu ni kumkiri tu Yesu na kubatizwa, basi imeishia hapo, tunachosubiria tu ni kufa na kwenda mbinguni.. Ndugu Mawazo kama hayo ndiyo … Continue reading TUTAMKARIBIA MUNGU KWA IDADI YA MVI ZETU ROHONI.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed