Amri zilizo ndogo alizozizungumzia Yesu ni zipi?

SWALI: Tukisoma  Mathayo 5:19 Inasema.. “Basi mtu ye yote atakayevunja AMRI MOJA katika hizi ZILIZO NDOGO, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu ATAKAYEZITENDA na KUZIFUNDISHA, huyo ataitwa MKUBWA katika ufalme wa mbinguni”. Swali langu 👆Amri ndogo zinazozungumziwa hapo ni zipi? Ningependa kuzijua! Kama kuna Amri ndogo ,bila shaka … Continue reading Amri zilizo ndogo alizozizungumzia Yesu ni zipi?