Biblia ina maana gani inaposema akonyezaye kwa jicho huleta masikitiko?

JIBU: Tusome, Mithali 10:10 “Akonyezaye kwa jicho huleta masikitiko; Bali mpumbavu mwenye maneno mengi ataanguka”. Kukonyeza ni ishara inayojulikana