YESU ANAKWENDA KUIBADILISHA OFISI YAKE.
Mungu anayo agenda, na usipojua agenda ya Mungu katika siku hizi za mwisho ni ngumu sana kuiona ile ng’ambo, Leo hii tunaishi maisha ya juu juu tu kwasababu hatujamjua YESU ni nani na tabia zake ni zipi kulingana na majira ya wakati. Tunapenda kumjua tu katika ule upande wake mmoja, wa upole na unyenyekevu (Mathayo … Continue reading YESU ANAKWENDA KUIBADILISHA OFISI YAKE.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed