nini maana ya kujikana nafsi na kujitwika msalaba?
SWALI: Bwana Yesu asifiwe. Naomba ya nifafanulie juu ya “kujikana mwenyewe” na “kujitwika msalaba” wako inamaanisha nifanye nini hasaa? JIBU: Tusome.. Marko 8:34 “Akawaita mkutano pamoja na wanafunzi wake, akawaambia, Mtu ye yote akitaka kunifuata na ajikane mwenyewe, ajitwike na msalaba wake, anifuate. 35 Kwa kuwa mtu atakaye kuiponya nafsi yake, ataiangamiza, na mtu atakayeiangamiza … Continue reading nini maana ya kujikana nafsi na kujitwika msalaba?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed