LIFAHAMU SANA JAMBO HILI, ILI MUNGU AKUTUMIE.

Tunapaswa tujue daraja kubwa sana la Mungu kututumia sisi kwa ajili ya kazi zake maalumu, ni kuishi maisha ya uchaji wa Mungu ambao  utashuhudiwa na watu wa nje. Kiasi kwamba hata Mungu akipitisha neno lake kinywani mwako, watu wengi wataamini moja kwa moja kwasababu maisha yako tayari yalishawashuhudia hata hapo kabla. Tukiweza kufikia hapo, basi … Continue reading LIFAHAMU SANA JAMBO HILI, ILI MUNGU AKUTUMIE.