WALA MSIUANGALIE MWILI, HATA KUWASHA TAMAA ZAKE.
Warumi 13:14 “Bali mvaeni Bwana Yesu Kristo, wala msiuangalie mwili, hata kuwasha tamaa zake”. Shalom, Jina la Bwana wetu Yesu Kristo, mweza wa yote libarikiwe daima. Nakukaribisha tena tuyatafakari kwa pamoja maneno ya uzima ya Bwana wetu. Kama hayo maandiko hapo juu yanavyotuambia tusiuangalie mwili, kuangalia mwili maana yake ni kuujali mwili kupitiliza, na matokeo … Continue reading WALA MSIUANGALIE MWILI, HATA KUWASHA TAMAA ZAKE.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed