TOFAUTISHA KATI YA MAFUNDISHO YA YESU, NA YA WAANDISHI.
Nakusalimu katika jina kuu lipitalo majina yote la Bwana wetu Yesu Kristo. Karibu tuyatafakari maneno yake pamoja, Tukisoma kitabu cha Mathayo ile sura ya saba inatuambia.. Mathayo 7:28 “Ikawa, Yesu alipoyamaliza maneno hayo, makutano walishangaa mno kwa mafundisho yake; 29 kwa maana alikuwa akiwafundisha kama mtu mwenye amri, wala si kama waandishi wao”. Maandiko hayo … Continue reading TOFAUTISHA KATI YA MAFUNDISHO YA YESU, NA YA WAANDISHI.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed