LAKINI NINYI, NDUGU, MSIKATE TAMAA KATIKA KUTENDA MEMA.

2Wathesalonike 3:13 inasema.. “Lakini ninyi, ndugu, msikate tamaa katika kutenda mema”. Unajua mpaka biblia inakuambia usikate tamaa, inamaanisha kuwa si kitu chepesi kukishikilia wakati wote. Si kitu ambacho unaweza ukaona faida yake moja kwa moja pale unapokifanya.. Lakini katika yote hayo bado inakuambia usikate tamaa. Ili jambo lolote liwe wema, ni lazima malipo yake yasilingane … Continue reading LAKINI NINYI, NDUGU, MSIKATE TAMAA KATIKA KUTENDA MEMA.