VAZI KUU AMBALO MUNGU AMETUANDALIA KILA MMOJA WETU.
Ukisoma kitabu cha Mwanzo, utaona mara baada ya Adamu na Hawa kuasi, kwa kula yale matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya,ambayo Mungu aliwakataza wasiyale, utaona pale kwa tendo lile hawakuona kwanza dhambi ndani yao, bali waliliona tatizo kwenye miili yao. Hawakujiona wamemkosea Mungu, bali walijiona wapo uchi, na ndio maana muda ule … Continue reading VAZI KUU AMBALO MUNGU AMETUANDALIA KILA MMOJA WETU.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed