SHETANI ANAPOKUINGIA, ANATIA MOYO MGENI NDANI YAKO.
Nakusalimu katika jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo, karibu tuyatafakari maneno ya uzima, ambayo ndio chakula cha kweli kitupacho afya roho zetu. Lipo jambo moja nataka tujifunze leo linalohusiana na utendaji kazi wa shetani pale anapopata nafasi ya kumwingia mtu. Katika biblia tunaona Yuda ndiye mtu wa kwanza aliyerekodiwa kwa uwazi kabisa kuingiliwa na … Continue reading SHETANI ANAPOKUINGIA, ANATIA MOYO MGENI NDANI YAKO.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed