LIPI TUNAJIFUNZA KWA WALIOMWONA YESU ALIYEFUFUKA?

Shalom, Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe daima. Siku ya leo, dunia inaadhimisha tukio kuu lililotokea takribani miaka 2000 iliyopita, Na tukio lenyewe ni lile la kufufuka kwa Bwana wetu Yesu Kristo kaburini. Lakini lipo jambo nataka tujifunze, juu ya mazingira yaliyokuwa yanaendelea siku ile.  Lakini kabla ya kuingia katika kiini cha somo letu, … Continue reading LIPI TUNAJIFUNZA KWA WALIOMWONA YESU ALIYEFUFUKA?