MIUJIZA YA KRISTO, HAITEGEMEI KANUNI ZA KIBINADAMU.

Shalom, karibu tujifunze Neno la Mungu, lakini kabla hatujaendelea, ningependa kwanza uzitafakari hizi habari mbili, kwasababu ndio kiini cha somo letu kilipo, zingatia sana sana  hiyo mistari iliyowekwa katika herufi kubwa. Luka 5:4 “Hata alipokwisha kunena, alimwambia Simoni, TWEKA MPAKA KILINDINI, mkashushe nyavu zenu mvue samaki. 5 Simoni akajibu akamwambia, Bwana mkubwa, tumefanya kazi ya … Continue reading MIUJIZA YA KRISTO, HAITEGEMEI KANUNI ZA KIBINADAMU.