Kwa kuwa ni shida mtu kufa kwa ajili ya mtu mwenye haki;
SWALI: Warumi 5:7 “Kwa kuwa ni shida mtu kufa kwa ajili ya mtu mwenye haki; lakini yawezekana mtu kuthubutu kufa kwa ajili ya mtu aliye mwema”. Bwana Yesu asifiwe mtumishi wa Mungu, Naomba ufafanuzi wa hilo andiko na pia nipate kujua tofauti kati ya mtu mwenye haki na mtu mwema. JIBU: Pamoja na kwamba Bwana … Continue reading Kwa kuwa ni shida mtu kufa kwa ajili ya mtu mwenye haki;
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed