Gidamu ni nini? Kwanini Yohana alisema hastahili kuzilegeza gidamu za Yesu?

SWALI: Kwanini Yohana alisema hastahili kulegeza gidamu ya viatu vya Yesu, gidamu ni nini? Gidamu ni mikanda maalumu ya viatu, Viatu vya zamani vilikuwa havina muonekano kama tulionao sasa hivi, ambao vingi vinatengenezwa kwa muundo wa kutumbukiza tu mguu,, vya zamani vilikuwa zinashikiliwa na mikanda maalumu, au kamba maalumu, ambazo zinazungushwa kwenye miguu, ili kuwezesha … Continue reading Gidamu ni nini? Kwanini Yohana alisema hastahili kuzilegeza gidamu za Yesu?