Je! Israeli wote wataokolewa siku ya mwisho kulingana na Warumi 11:26?

Jibu: Tusome, Warumi 11:25 “ Kwa maana, ndugu zangu, sipendi msiijue siri hii, ili msijione kuwa wenye akili; ya kwamba kwa sehemu ugumu umewapata Israeli, mpaka utimilifu wa Mataifa uwasili. 26 Hivyo Israeli wote wataokoka; kama ilivyoandikwa, Mwokozi atakuja kutoka Sayuni; Atamtenga Yakobo na maasia yake” Ni kweli upo unabii wa Israeli wote kuokolewa katika … Continue reading Je! Israeli wote wataokolewa siku ya mwisho kulingana na Warumi 11:26?