Kwa herufi gani kubwa nimewaandikia kwa mkono wangu mimi mwenyewe.

SWALI: Mtume Paulo alikuwa na maana gani kusema kwa herufi gani hii kubwa nimewaandikia kwa mkono wangu mimi mwenyewe? Wagalatia 6:11 “Tazameni ni kwa herufi gani kubwa nimewaandikia kwa mkono wangu mimi mwenyewe”! JIBU: Ili tufahamu vizuri ni vema tukatazama maudhui ya kitabu cha Wagalatia ilikuwa ni nini, Kitabu hichi Mtume Paulo aliwaandikia wagalatia, kanisa … Continue reading Kwa herufi gani kubwa nimewaandikia kwa mkono wangu mimi mwenyewe.