Je! Mwandishi wa kitabu cha Warumi alikuwa ni Paulo au Tertio?
SWALI: Je! Mwandishi wa kitabu cha Warumi alikuwa ni Paulo au Tertio? kulingana na mstari huu; Warumi 16:22 “Mimi Tertio, niliyeandika waraka huu, nawasalimu katika Bwana”. JIBU: Paulo katika maneno yake ya utangulizi alishatupa mwangaza kuwa yeye ndiye aliyekiandikia kitabu hicho, kiwaelekee watakatifu wote waliokuwa Rumi. Tusome; Warumi 1:1 “PAULO, MTUMWA WA KRISTO YESU, ALIYEITWA … Continue reading Je! Mwandishi wa kitabu cha Warumi alikuwa ni Paulo au Tertio?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed