Je ni kweli siku ya mwisho dunia itakunjwa kama karatasi na kutupwa motoni?
Jibu: Hakuna mstari wowote katika biblia takatifu unaosema kwamba dunia siku moja itakunjwa kama karatasi na kutupwa motoni. Mstari ambao unawachanganya wengi ni ule wa Isaya 34:4 unaosema.. Isaya 34:4 “Na jeshi lote la mbinguni litafumuliwa, NA MBINGU ZITAKUNJWA KAMA KARATASI, na jeshi lao lote litanyauka kama vile jani la mzabibu linyaukavyo na kupukutika, na … Continue reading Je ni kweli siku ya mwisho dunia itakunjwa kama karatasi na kutupwa motoni?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed