Mego ni nini kama tunavyosoma katika biblia? (Mithali 17:1)
Mithali 17: 1 Afadhali mego kavu pamoja na utulivu, Kuliko nyumba yenye karamu nyingi pamoja na magomvi. JIBU: Mego ni neno linalotokana na kitenzi “mega”,(kumega) kitu kilichomegwa, ni kama kimenyofolewa sehemu Fulani kwa sana. Kwa lugha rahisi tunaweza kusema ni kitu kidogo sana. Sasa hapo anaposema Afadhali mego kavu, anamaanisha afadhali chakula kidogo sana (Mfano … Continue reading Mego ni nini kama tunavyosoma katika biblia? (Mithali 17:1)
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed