Naivera ni nini? Kwanini Daudi aliihitaji alipomtafuta Mungu?

Kibiblia Naivera imemaanisha vitu viwili, cha kwanza, ni aina ya vazi maalumu  lililotengenezwa  kwa mfano wa Aproni(yale mavazi ya wapishi) kwa ajili ya