Naivera ni nini? Kwanini Daudi aliihitaji alipomtafuta Mungu?

Kibiblia Naivera imemaanisha vitu viwili, cha kwanza, ni aina ya vazi maalumu  lililotengenezwa  kwa mfano wa Aproni(yale mavazi ya wapishi) kwa ajili ya ibada za kikuhani, au kwa ajili ya kujisogeza mbele za Mungu. Kwamfano, Mungu alimuagiza Musa, atengeneza mavazi ya kikuhani, kwa ajili ya Haruni, na watoto wake, na mojawapo ya vazi hilo ilikuwa … Continue reading Naivera ni nini? Kwanini Daudi aliihitaji alipomtafuta Mungu?