Nini maana ya kumwabudu Mungu katika Roho na kweli?
JIBU: Kwanza ni muhimu kufahamu nini maana ya neno “kuabudu”. Leo hii ukizungumzia neno kuabudu, haraka haraka katika vichwa vya wengi, italenga katika “kuimba nyimbo za kuabudu”. Lakini kiuhalisia kumuabudu Mungu sio kuimba nyimbo za kuabudu. Bali neno “kuabudu”, limetokana na neno “Ibada”. Kwahiyo “kufanya ibada” ndio “kuabudu”. Kwa urefu juu ya kuabudu unaweza kufungua … Continue reading Nini maana ya kumwabudu Mungu katika Roho na kweli?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed