MAMA, TAZAMA, MWANAO.

Nakusalimu katika jina lipitalo majina yote la Bwana wetu Yesu Kristo, karibu  tuyatafakari maneno ya uzima maadamu bado tupo hai. Maandiko yanatuambia ; Yohana 19:25 “Na penye msalaba wake Yesu walikuwa wamesimama mamaye, na umbu la mamaye, Mariamu wa Klopa, na Mariamu Magdalene. 26 Basi Yesu alipomwona mama yake, na yule mwanafunzi aliyempenda amesimama karibu, … Continue reading MAMA, TAZAMA, MWANAO.