Kwanini Yakobo alimshinda Mungu, Je! Mungu huwa anashindwa na wanadamu?

SWALI: Je! Mungu anashindwa na mwanadamu? Kama sio Kwanini siku ile aliposhindana na Yakobo alikiri kushindwa? Mwanzo 32:25 “Naye alipoona ya kuwa hamshindi, alimgusa panapo uvungu wa paja lake; ukateguka uvungu wa paja la Yakobo alipokuwa akishindana naye. 26 Akasema, Niache, niende, maana kunapambazuka. Akasema, Sikuachi, usiponibariki. 27 Akamwuliza, Jina lako n’nani? Akasema, Yakobo. 28 … Continue reading Kwanini Yakobo alimshinda Mungu, Je! Mungu huwa anashindwa na wanadamu?