KUWA RAFIKI WA DUNIA NI KUWA ADUI WA MUNGU.

Yakobo 4:4  “Enyi wazinzi, hamjui ya kwamba kuwa rafiki wa dunia ni kuwa adui wa Mungu? Basi kila atakaye kuwa rafiki wa dunia hujifanya kuwa adui wa Mungu”. Shalom. Kitendo tu cha kuipenda dunia, na mambo yake, tayari umefanyika kuwa adui wa Mungu. Mtu akipenda anasa, akipenda uzinzi, akipenda fashion, akipenda starehe za ulimwengu huu, … Continue reading KUWA RAFIKI WA DUNIA NI KUWA ADUI WA MUNGU.