HAKUNA MTU ANIONDOLEAYE, BALI MIMI NAUTOA MWENYEWE

Yapo mambo mengi Bwana Yesu aliyoyafanya ambayo katika akili za kawaida, ni ngumu kuaminika. Yapo mengi lakini leo tulitazame moja kuu, ambalo hakuna mwanadamu yeyote wala kiumbe chochote kinachoweza kufanya. Na jambo hilo si lingine zaidi ya  UWEZO WA KUUTOA UHAI WAKE NA KUURUDISHA. Umewahi kujiuliza mtu anawezaje wezaje kuutoa uhai wake yeye mwenyewe na … Continue reading HAKUNA MTU ANIONDOLEAYE, BALI MIMI NAUTOA MWENYEWE