Je! Mfalme Abiya na Mfalme Asa walikuwa ni ndugu?

Katika 1Wafalme 15:2 na 1Wafalme 15:10 tunaona wote mama yao ni mmoja, ambaye ni Maaka, binti Absalomu. Lakini Mstari wa 8 unasema ni mtu na mwanawe. Jibu: