JE! NA SISI NI SHABA ILIAYO NA UPATU UVUMAO?

Jina la Bwana wetu na mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe daima.. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Mtume Paulo aliandika hivi; 1 Wakorintho 13:1 “Nijaposema kwa lugha za wanadamu na za malaika, KAMA SINA UPENDO, NIMEKUWA SHABA ILIAYO NA UPATU UVUMAO. 2 Tena nijapokuwa na unabii, na kujua siri zote na maarifa yote, nijapokuwa na imani … Continue reading JE! NA SISI NI SHABA ILIAYO NA UPATU UVUMAO?