MUNGU ATAKUUA UKIWA MBAYA MACHONI PAKE.
Mwanzo 38:6 “Yuda akamwoza mke Eri, mzaliwa wake wa kwanza, na jina lake huyo mke ni Tamari. 7 Naye Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mbaya machoni pa Bwana; na Bwana akamwua”. Lazima tukumbuke kuwa Mungu anatazama matendo ya kila mmoja wetu katika hii dunia, Na pale yanapovuka mipaka yake aliyoiweka tujue kuwa tunayahatarisha … Continue reading MUNGU ATAKUUA UKIWA MBAYA MACHONI PAKE.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed