Ni nani aliye kipofu, ila mtumishi wangu?

SWALI: Nini maana ya hii mistari? Isaya 42:19 “Ni nani aliye kipofu, ila mtumishi wangu? Au aliye kiziwi, kama mjumbe wangu nimtumaye? Ni nani aliye kipofu, kama yeye aliye na amani? Naam, kipofu kama mtumishi wa Bwana? 20 Unaona mambo mengi, lakini huyatii moyoni; masikio yake ya wazi, lakini hasikii”. JIBU: Maneno hayo hayamaanishi kuwa … Continue reading Ni nani aliye kipofu, ila mtumishi wangu?