USIRUDI NYUMA KWA KUITUMAINIA HAKI YAKO.
Adui yetu shetani, ni kama simba angurumaye akitafuta mtu wa kummeza (1Petro 5:8), hivyo usiku na mchana anatupigana vita ili mradi, atuangushe au atwae vile tulivyo navyo. Leo tutaingalia njia moja anayoitumia kutunyang’anya baraka zetu. Shetani akishajua kuna Baraka Fulani umeahidiwa na Mungu, moja kwa moja anaanza kutafuta njia ya kukupokonya hiyo, sasa tofauti na … Continue reading USIRUDI NYUMA KWA KUITUMAINIA HAKI YAKO.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed