NI SAHIHI KABISA, HUU SI WAKATI WA TINI!
Katika ukristo ogopa sana ile kauli ya kusema “Huu si wakati”… “Bado kidogo”…. “Wakati wake utafika tu siku moja”… Ogopa sana kauli kama hizo, tena ziogope kuliko ukoma. Kwanini ninakuambia hivyo? Ni kwasababu wakati ambapo unafikiria majira yake bado, huo ndio wakati Kristo anatazamia kuona matunda kwako. Jambo ambalo ni kinyume kabisa na asili. Hana … Continue reading NI SAHIHI KABISA, HUU SI WAKATI WA TINI!
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed