SINA PESA SASA, YESU ATANISAIDIA NINI?
Habari za Esau na Yakobo zina mafunzo makubwa sana kwetu,. Unajua biblia inaposema mambo yote yaliyoandikwa katika agano la kale yalikuwa ni kwa ajili ya kutuonya sisi, ilimaanisha kweli (Soma 1Wakor 10:11). Hivyo tunapaswa tusome kwa umakini mkubwa sana kwasababu hakuna jambo ambalo linaendelea sasa hivi duniani halijaandikwa kwenye biblia. Ulishawahi kujiuliza ni kipindi cha … Continue reading SINA PESA SASA, YESU ATANISAIDIA NINI?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed