Zeri ya Gileadi ni nini?

Zeri ni dawa ambayo ilikuwa inakamuliwa kutoka katika aina Fulani ya mmea uliokuwa unapatikana sana sana huko Gileadi. Kwasasa haujulikani mmea huo ulikuwa hasaa ni wa aina gani, kama ni mti au jani, lakini biblia inachoeleza ni thamani yake na  sifa zake katika kuponya. Ukisoma katika biblia kipindi kile wale watoto wa Yakobo walipomuuza ndugu … Continue reading Zeri ya Gileadi ni nini?